HUDUMA ZETU
1.Tunapima mwili mzima kwa kutumia vifaa vya kisasa vilivyounganishwa na komputa, sehemu tunazopima ili kubaini ugonjwa uliopo kwa kutumia vifaa vyetu ni;- moyo, tumbo, uzazi, figo, ini, bandama, kongosho, mifupa, damu, ubongo, ngozi, macho, na mfumo mzima wa fahamu.
2.Tunatibu magonjwa mbalimbali ikiwemo moyo uliopanuka, mafuta kwenye moyo, moyo wenye tundu(kidonda), mishipa ya moyo iliyosinyaa, vidonda vya tumbo, amiba, typhoid, malaria, minyoo, uvimbe tumboni, mchango, uvimbe kwenye uzazi, pid, chango la uzazi, maumivu ya hedhi, kutoka uchafu ukeni, kutoka damu mfululizo, saratani ya uzazi, UTI, fangasi, mirija kuziba na kujaa maji, kurekebisha homoni, tezi dume, ngiri, nguvu za kiume, magonjwa ya mifupa, figo, ini, bandama, kisukari, sickle cell, anaemia, kifafa, na magonjwa ya ngozi.
3.Tunatoa sumu mwilini kwa dawa na kwa mashine maalumu
4.Tunatoa ushauri bure kwa watu wote, kimatibabu kiugonjwa nakadharika
No comments:
Post a Comment