Tuesday, 7 June 2016

NAFASI YA AJIRA PARADISE JUNE TO JULY 2016

TANGAZO TANGAZO TANGAZO. NAFASI ZA KAZI
PARADISE SANITARIUM CLINIC
Kituo cha sayansi ya tiba asili kwa magonjwa mbalimbali
Mkurugenzi wa kituo cha afya cha paradise anapenda kuwatangazia kuwa kuna nafasi za kazi kama ifuatavyo;-
1.clinical officer nafasi mbili
sifa za kuomba
-uwe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-uwe umesomea mchepuo wa PCB au CBG
-computer knowledge ni kigezo cha ziada
-umri kuanzia miaka 21 mpaka 40
-wanaume watapewa kipaumbele
2.reception/masijala nafasi tatu
-elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-uwe umesomea mchepuo wowote
-ujuzi wa komputa ni kigezo cha ziada
-umri kuanzia miaka 18 hadi 28
-wasichana watapewa kipaumbele
3.upishi na usafi nafasi moja
-kuanzia darasa la saba na kuendelea
-ajue kusoma na kuandika
-mchapakazi
4.usambazaji dawa/herbs supplier nafasi tano
-kuanzia darasa la saba na kuendelea
-ajue kusoma na kuandika
-mchapakazi, anajitambua
-ajue kuzungumza kiswahili kwa ufasaha
-ujuzi wa kiingeleza ni kigezo cha ziada

tuma  maombi  kwa email paradiseclinic02@gmail.com 
wahi kuchukua fomu ya maombi, kabla ya dirisha la maombi halijafungwa kwa mawasiliano piga simu namba 0679707921 au 0756361461,
mwisho wa kutuma maombi ni trh 20/06/2016

No comments:

Post a Comment