.MOYO KUPANUKA
Huu ni
ukinzani wa moyo jinsi unavyo toa na kuingiza damu katika mishipa ya moyo na
kuelekea sehemu zingine kwenye mwili.
Mara
nyingi moyo ukipanuka hupelekea baadhi ya sehemu kwenye misuri ya moyo
kutokufikiwa na damu, hivyo kusababisha tundu kwenye moyo au kidonda cha moyo
na baadaye stroko.
SABABU ZA MOYO KUPANUKA
Vifuatazo ni visababishi vya moyo kupanuka;-
1. mafuta
katika damu
2. cholesterol/
lehemu
3. sumu mwilini
4. ukosefu wa
protini
5. msongo wa
mawazo
6. magonjwa ya
muda mrefu
7. shinikizo la
juu la damu
DALILI ZA MOYO KUPANUKA
Ili utambue moyo buliokwisha panuka ni
muhimu kuzijua dalili zifuatazo;-
·
mapigo ya moyo kwenda kasi mara kadhaa
·
moyo kulipuka mara kwa mara
·
kuhisi hali ya mwili kunyong’onyea/ kupoteza nguvu
·
miguu kuwa baridi au kufa ganzi
·
wakati mwingine vidole kufa ganzi na kukakamaa
·
maumivu kwenye moyo (heart pain)
·
vichomi na kifua kubana
·
maumivu kwenye chemba ya moyo
MADHARA YA MOYO KUPANUKA
Yafuatayo ni madhara ya moyo uliopanuka;.-
·
kuvimba miguu
·
miguu kufa ganzi
·
kupalalaizi/stroko
·
kidonda kwenye moyo
·
usipotibu na kuchukua tahadhari mapema husababisha
vifo
JINSI YA KUEPUKA TATIZO HILI
1. Kuepuka
ulaji wa nyama, mayai, maziwa ambavyo huongeza mafuta kwa wingi.
2. usile
vyakula vya kusindikwa vina chemicals na lehemu nyingi
3. epuka mafuta
ya korie, ok na yote yatokanayo na wanyama
4. tumia mafuta
ya mimea kama alizeti, karanga, nazi, mawese nk ila kwa kiasi kidogo
5. punguza
msongo wa mawazo, fanya mazoezi kwa muda wa dakika 30 kwa siku asubuhi na jioni
6. kula mboga
za majani kwa wingi(not dead food)
7. usitumie
sukari, na chumvi isitumike kwa wingi
TIBA YA TATIZO HILI
Kuna mimea mingi inahusika na kutibu tatizo hili, kama vile mziwaziwa, kitunguu swaumu, nsese(kisukuma), aloe, mwicha na mingine mingi. ili kujipatia dawa ilioandaliwa kwa uhakika tafadhali fika kwenye clinic zetu kupata tiba ushauri na uponyaji.
No comments:
Post a Comment