NAZI
Maji ya nazi
yanatibu kipindupindu
UBORA
Maji ya nazi ya
kijani ni baridi, inafurahisha, na inasafisha mkojo. Inarekebisha rngi ya mkojo na kutibu kiu. Wakati nazi
haijaiva uzalishwaji wa kiini cha ndani haujafanyika , maji yake yanakuwa sio
matamu, na machachu. Maji yake yanakuwa matamu kama kiini cha ndani kimetokea.
Sukari ambayo ipo ndani ya maji yanafyonzwa kwa urahisi. Ni salama kwa sababu
ni asilia, na haina vijidudu.
Uchambuzi wa vilivyomo
Maji 95.5%
Sodium 105mg/100gm
potassium 312mg/100gm
calcium 29mg/100gm
magnesium 30mg/100gm
chuma 0.1mg/100gm
copper 0.04mg/100gm
Phosphorous 37mg/100gm
sulphur 24mg/100grams
chlorine 183/100grams
vitamin B cokmplex 0.64mg/100gm
pantothenic acid 0.52mg/100gm
biotin 0.02 mg/100gm
riboflavin 0.01 mg/100g
pyrodoxin very small amount/100gm
nazi ya kijani ni chanzo kizuri cha
madini chumvi na vitamin B complex
Matumizi
Maji ya Nazi ya kijani inavitu
vilivyoainisha hapo juu na vitamin. Kadri kokwa linavyokomaa inaiva na kuwa ya
njano, taratibu inapoteza viini lishe muhimu. Hivyo maji ya nazi kijani ndio
inatakiwa kusisitizwa kwa kunywa. Vitamin C isiyokuwepo kwenye maji ya nazi
unaweza kuipata kwa kuongea juisi kidogo tu ya limao.
Faida
·
Maji
ya kijani ya nazi yanasaidia matatizo ya mkojo na na vimawe figo(kidney stone)
·
Inafaa
sana kwa kipindupindu. Wakati wa kutapika na kuhara mwili unapoteza maji na
madini muhimu. Kwa wakati mwingine hii ni hatari. Kwa njia hiyo maji ya nazi
yanatoa maji na chumvi kwenye mwili.
·
Maji
ya nazi ni kinga ya bacteria, inawaua wadudu wa chorela kutoka kwenye utumbo.
·
Vitamin
B complex iliyopo kwenye maji ya nazi inaimarisha moyo na neva za fahamu na
mfumo wa mmeng’enyo.
Wanasayansi kutoka
shula ya tropical medicine wnaamini kuwa maji ya nazi yana potassium ya asili
ni bora ikiingizwa chumvi potassium wakati wa kutibu chorela

No comments:
Post a Comment