PARADISE SANITARIUM CLINIC
TAASISI YA SAYANSI YA MIMEA TIBA KWA MAGONJWA MBALIMBALI
Kwa utafiti uliofanywa kwa mimea zaidi ya 2500, ikabainika kuwa na viini tiba kazaa ambavyo ni tiba kwa magonjwa mbalimbali. mimea tiba hiyo ni kama;- mlonge, ronzwe(kisukuma), nsese(kisukuma), mwitanjoka(kikurya), litanjoka(kijita), mwicha, mwarobaini, aloe vera, aloe filux, aloe pisum, mdalasini, mkwaju, mkuyu, mbuyu, mkalya(kinyamwezi), mlundalunda, mwembe, mchaichai, star of jerusalem, mlungulungu, mtembe(kikurya), horse tail(english), mpera, mparachichi, nduree, castro, alizeti, alizeti pori, mzeituni, raddish, beetroot nk, Mpaka sasa kuna mimea mingine zaidi ya 200 inafanyiwa utafiti.
Mimea hii imeleta ufanisi mkubwa sana kwa kutibu magonjwa mbalimbali hapa nchini tanzania, na Africa Mashariki kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment